Posts

Showing posts from March, 2018

MUTUNGI ACHA WATU WAFANYE SIASA

MUTUNGI ACHA WATU WAFANYE SIASA Msajili wa vyama vya siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi kwa mara nyingine ametoa siku tano kwa Chadema kujieleza kwanini asikichukulie hatua kwa kukiuka sheria na kanuni za maadili ya vyama vya Siasa. #rejea! ... Kuwa Sheria ya vyama vya siasa Ibara ya 11 (1), (a), (4) katiba inatoa haki kwa vyama vya siasa kufanya mikutano na maandamano ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia ; Na kwa mujibu wa maadili ya vyama vya siasa , ibara ya (4), (1) (b), (e),kinatoa haki kwa vyama vya siasa kutoa maoni yake na kufanya maandamano kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa. *huyu anaagizwa , natamani kuona tamko lako Mzee , unaifuta Chadema ama la! Maake huishi kutamka ...amua tuone *.