Posts

Showing posts from January, 2018

Ajali mbaya yatokea

Mwendesha pikipiki mmoja maarufu kama bodaboda amejeruhiwa vibaya sana baada ya kugongwa na gari ya polisi lenye namba ya usajili pt 2012   Ajali hio imetokea leo asubui majila ya saa moja kibaha maeneo ya hospitali ya mkoa wa pwani ambapo      Bodaboda huyo ambae jina wala kabila lake halikuweza kupatikana mapema amekimbizwa na kulazwa katika hospitali ya mkoa pwani   Mashuhuda wa ajari hio wanalipoti kuwa chanzo cha ajali hio ni mwendo kasi alokuwa nao boda boda ambapo alijikuta kupalamia gari bada ya kushindwa kukata kona na kukaa kwenye saiti yake       Bodaboda huyo anaonekana kaumia sana mguu wa kushoto ambao umevunjika na kupata mchubuko mkubwa na kuvunjika mkono wa kulia By onesmo righton   

Sumaye afunguka kurudi ccm

  Waziri wa zamani mh fredrick sumaye amefunguka juu ya hama hama ya baadhi ya wabunge na madiwani wa chadema ambapo amesema kwa kufanya hivyo niushamba wa siasa    Akijibu swali la mtangazaji wa kituo kimoja hapa jijini ambaye alimuuliza kama atarudi nyumbani kwa maana ya chama cha mapinduzi sumaye alishangaa na kukana kuwa ccm sio nyumbani   Sumaye alimnukuu mwalimu nyerere akisema kuna wakati baba wa taifa alipata kisema ccm sio mama yangu, hivyo ujue kuwa chama cha mapinduzi sio nyumbani     Nilijiunga na upinzaji ili kupigania democrasia, uhuru wa kuongea na kutoa maoni kupinga udicteta ikiwa ni pamoja na kudai utawala bora wa sheria kwa kufwata misingi ya katiba    Aliongeza na kusema kuwa hata kama viongozi waliopo madarakani watafanya yote tunayoyapigania leo atabaki kuwa upinzani ili azidi kuipa chalenji serikal       Sitaki niamin kwamba kweli viongozi wanaohama hawajui siasa ninini au niwanahama kwa eidha mashinikizo flani au kwa kuaidiwa kitu flani, kutishwa na k

TANZIA

      Mke wa mwanasiasa mkongwe na mahili katika siasa za tanzania kingunge ngombale mwilu peres amefariki dunia Akithibitisha juu ya kifo hicho mtoto wake kinje mwilu alisema mama yake umauti umemkuta katika hospital ya taifa muhimbil alikokuwa akitibiwa