Posts

Showing posts from December, 2014

STORY YA UTAKE

katika utawala wa mfalme mmoja alie fahamika kwa jina la mfalme jakata kipete huko mashariki ya  mbali kulitokea ugonjwa mbaya sana ambao ulifahamika kwa jina la dusha uliwatesa sana wanakijiji wa ngome ya jakata kwa mda mrefu bila mafanikio hakuna kiongozi yeyote alie wai kusimama na kulisemea tatizo hilo wala kujali ukubwa wa tatizo hivyo kulifanya tatizo likuwe nakua kubwa  kutokana mwingiliano wa watu basi asilimia kubwa ya wanakijiji hao waliugua ugonjwa huo maisha halisi ya wanakijiji hao walishindwa jinsi ya kulidhibiti tatizo hilo hivyo likakuwa nakukuwa mala dufu zaidi hali ambayo ilisababisha kusambaa kuanzia wanajijiji wa chini mpaka viongozi wa juu lilipo fika juu na kumkuta mkuu wa ngome lilibadilishwa jina nakuitwa tenzi gume na baada ya kuona hilo mkuu wa ngome huo akondoka kwenda kijiji cha pili ili kwenda kutibia tatizo hilo  alipofanikiwa kulitibia hilo akarudi na kuanza kuaadisia wana kijiji huku akielezea ukubwa wa tatizo lakini ilitumia fursa hiyo kuwadisia

HALI SI SHWALI MBALALI MBEYA

News Alert: Hali ya Mbarali ni mbaya; zaidi ya wanaCHADEMA 30 wamerundikwa ndani Hali ya Mbarali ni mbaya; zaidi ya wanaCHADEMA 30 wamerundikwa ndani; wakina mama kama 12. Wameteswa na kumwagiwa maji na kugalagazwa chini kwenye kituo cha polis Rujewa. Kuna hadi mzee anaekadiliwa kuwa miaka kati ya 70 na 75  katolewa hadi shati yupo kifua wazi Wengi wamekamatwa usiku, wengine leo baada ya taharuki iliyo tokea jana Kapunga kwenye upigaji kura. Na leo hii baadhi ya maeneo uchaguzi unarudiwa. baadhi ya wapiga kura wa CHADEMA wapo ndani Katibu wa wilaya Mbarali Nicko yupo polis sasa na madiwani wawili wakijaribu kufanya taratibu za kujua kinacho endelea. mpaka sasa mnyukano kati ya polisi na wananchi ni mkali wananchi wamechoma moto duka la mtendani wa kata wakidai kuwa mdendaji wao ndie anasababisha vurugu hizo kutokea kwa kile walicho kieleza kuwa hakutenda haki wakati wa zoezi la upigaji kura     polis mbalali wameomba msaada kutoka mbeya ili waweze kuong