Posts

Showing posts from 2017

NYOTA YA MZALIWA WA KWANZA

             Kama unaitaji kujua nyota ya mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia na changamoto ambazo anaweza kukabiliana nazo tufwatane pamoja. Mtoto wa kwanza kuzaliwa nimtoto mwenye nguvu na aliebeba baraka zote za familia. Nimtoto ambae kwa asilimia kubwa anabeba majukumu ya familia nakuwa mbadala wa wazazi wake pindi wanapochoka au kuzeeka. Mtoto wa kwanza ananyota gani? Mtoto huyu ananyota kadha lkn hapa tutaziangalia chache kama ifuatavyo:- 1) nyota ya kupendwa. 2) nyota utajiri 3)  anakuwa na mvuto 4) kuwa na mamlaka 5)  kuwa na nyota ya amani na faraja 6) ana nyota ya elimu na maisha mazuri   Nanyingine nyingi ambazo tutaziangalia hapo badae endapo zitahitajika             je nini maana ya nyota? Nyota ni kipaji au neema ambayo mtu hujaaliwa na mwenyezi mungu pindi tu anapozaliwa . kipawa hicho huwa kikitunzwa vizur hufanyika lulu kwake kwani ndio maisha yake halisi na kumfanya aishi vyema Mungu anaitambua sana nguvu ya mtoto wa kwanza na mamlaka alionayo

SANAA NI NINI?

Sanaa ninini basi. Waweza kusema sanaa nikazi kama zilivyo kazi zingine lkn pia kitaalamu sanaa niule ufundi wa kuwasilisha mawazo yalio katika fikra za mtu kwenda kwa mtu mwingine Au ni lile jambo ambalo mwandishi amelisema katika kazi ya fasihi              MATAWI YA SANAA kuna vipengele au matawi kadha vya sanaa ambayo ni:- 1) maigizo 2) ususi 3) uchongaji 4) uchoraji 5) ufumaji 6) uimbaji 7) uchekeshaji    Unawezaje kuwasilisha sanaa yako kwa watu wengine? Kwanza nikwanjia ya kuamini kuwa unaweza kisha wasilisha sanaa yako na sanaa inawasilishwa kwa njia ya mandishi, maneno na vitendo

HABARI MVUNJIKO

Aliekuwa mbunge wa jimbo la kinondoni maulid mtolea ametangaza kuwa atachukuwa form ya kugombea ubunge katika chama chake kipya chama cha mapinduzi ccm

Siasa mchezo wa hovyo sana

              SIASA BANA Inafahamika wazi na wengi tumeaminishwa kuwa siasa ni mchezo mchafu  Kwa sasa hii iko wazi ukiangalia siasa zetu na viongozi wetu tanzania jinsi zinavyokwenda na jinsi mambo yanavyoendeshwa   Kama kuna kipindi ambacho vyama vya siasa vinatakiwa kuwa makini nikipindi hichi cha hama hama ya viongozi ambayo imekuwa ikisikika kila kukicha  Watu wamepokea kwa hisia tofauti hamahama hii, wapo wanaodai kuwa kuhama kwa viongozi ni kudhofisha chama flani na kuimalisha kingine Wengine wanasema hii nijanja janja ya chama ili kujua mbinu ya mpinzani wako lazima ukae karibu nae na ikiwezekana ule nae kabisa kwa lengo la kumwaminisha kuwa upo upande wake  Kuna watu hawataki kabisa kuamini katika hayo yote wao wamejikita katika msimamo wa kuwa uoga na njaaa ndio chanzo cha wao kuweza kuhama kutoka chama kimoja kwenda  kingine Lakini ukirudi nyuma ukasikiliza tamko alilolitoa aliekuwa mwenyekiti wa vijana Bavicha patrobas katambi kuhusiana na tukio l

SALAM WAPENDWA

Salamu sana, hizi ni salamu kutoka kwa mwanakwetu mwaki peter nakili udhaifu wa kutokuwa hewani kwa mda mrefu hii nikutokana na uchakavu wa mitambo kiasi kwamba ilikuwa inaniwia vigumu kuwa karibu na watu wangu wa kuwategemea . kutokana na sababu hio sasa ninayo furaha kubwa kuwa tunarudi hewan kwa kasi nyingine tukiwa na hali mpya

SALAM WAPENDWA

Salamu sana, hizi ni salamu kutoka kwa mwanakwetu mwaki peter nakili udhaifu wa kutokuwa hewani kwa mda mrefu hii nikutokana na uchakavu wa mitambo kiasi kwamba ilikuwa inaniwia vigumu kuwa karibu na watu wangu wa kuwategemea . kutokana na sababu hio sasa ninayo furaha kubwa kuwa tunarudi hewan kwa kasi nyingine tukiwa na hali mpya  Naomba mnipokee wadau kwa habari na matukio motomoto nihapa hapa kupitia mwaki blog uwende wapi kwingine hakika ni hakuna