Posts

Showing posts from October, 2014

BOKO HARAMU WAPIGA RISASI NA KUWACHINJA WATU

Image
BOKO HARAMU  Watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Boko Haram, wamewapiga risasi na kuwachinja watu katika vijiji vitatu Kaskazini Mashariki ya Nigeria licha ya serikali kudai mwishoni mwa wiki kuwa ilifikia makubaliano na kundi hilo. Wapiganaji wa Boko Haram, walivamia vijiji viwili Jumamosi na kupandisha bendera yao kwa mara ya tatu. Hii ni kwa mujibu wa wanakijiji wa eneo hilo. Serikali ilisema kuwa itaendelea kufanya mazungumzo na Boko Haram licha ya madai ya kundi hilo kuvunja makubaliano. Inatumai kuwa kundi hilo litawaachilia zaidi ya wasichana miambili waliowateka nyara amwezi Aprili. Boko Haram hawajasema chochote kuhusu tamko la serikali ya Nigeria Ijumaa kwamba wamekubali kusitisha vita na kuwaachilia wanafunzi hao miambaili waliotekwa nyara katika eneo la Chibok.

CHADEMA KWENDA MAHAKAMANI KUPINGA KATIBA INAYO PENDEKEZWA

Image
makam mwenyekiti wa chama cha demokrasi na maendeleo (CHADEMA) profesa abdalasafari Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema kimesema kinakamilisha ushahidi ili kwenda mahakamani kupinga katiba inayopendekezwa kupelekwa katika hatua ya kupigiwa kura ya maoni kwa madai kuwa katiba hiyo imekosa uhalali kutokana na kukosa theluthi mbili kutoka upande wa zanzibar. Makamu mwenyekiti wa chadema Tanzania Bara Profesa Abdalah Safari ametoa tamkoa hilo wakati akihutubia umati wa wakazi wa mji wa iringa na vitongoji vyake kwenye uwanja wa mlandege ambapo amebainisha kuwa zoezi la kupitisha rasimu ya katiba inayopendekezwa ndani ya Bunge maalumu la katiba liligubikwa na mbinu chafu za uchakachuaji wa kura hasa za wajumbe wa zanzibar.   Kwa upande wake katibu mkuu wa chama hicho Dokta Wilbrod Slaa amesema chama cha mapinduzi kimeanza kuhujumu mchakato wa uandikishaji wa wananchi kwenye Daftarai la Makazi kwa kuendesha zoezi hilo kwa siri huku kikitumia mabalozi wa nyumba

UJUMBE MKUBWA WA LEO WA DIAMOND

Image
                                                                                                                                                                      mwaki akiwa anatafakari nijinsi gani anawapenda ndugu zake akiwa nnyumbani kwake eapoti mbeya leo katika ukarasa wake msanii wa mziki wa kizazi kipya tanzania DIAMOND PLUTNIUM ameandika kuwa maisha ni vita ya mirere usichoke kupambana  na ukiona madui wanazidi kukuandama ujue umepiga hatua kimaendeleo namini mtu yeyote mwenye mafanikio atakubaliana na msanii huyu maana binadamu wengi wanapenda kuona mtu akiteseka na kusotea maisha lakini hawapendi kuona mafanikio yako na hayo ndio maisha halisi ya binadamu walio wengi kuna watu abao wametutangulia mbele kimaisha hawapendi kuona mwingine unamsogelea na kuonesha mafanikio yako wanapenda kukaa mbele wakijiona kama wao ndio walio umbiwa maisha na hata katika familia zetu wengi tunapenda kuhodh madaraka ili tuonekane tunapa power kuliko mtu mwine napenda kutoa wi

BOKO HARAM WAWACHIA WANAFUNZI WALIOTEKWA

Image
     Wanafunzi wa Chibok waliotekwa nyara na wapiganaji wa Boko Haram Serikali ya Nigeria inasema kuwa imefikia makubaliano na kundi la wapiganaji wa Boko Haram kuhusu wasichana waliotekwa nyara wa Chibok. Mkuu wa jeshi la Nigeria Alex Badeh,aliyefichua makubaliano hayo mwishoni mwa mkutano wa siku tatu kati ya nchi hiyo na Cameroon anasema kuwa wanajeshi wa Nigeria watatimiza matakwa ya makubaliano hayo. Serikali imesema imekuwa ikifanya mazungumzo na viongozi wa Boko Haram. Kulingana na afisaa mkuu kiatika ofisi ya Rais Goodluck Jonathan, Hassan Tukur ambaye alifafanua taarifa hiyo, wajumbe wa serikali walikutana na wapiganaji wa Boko Haram mara mbili nchini Chad chini ya uongozi wa Rais wa Chad Idris Derby. Alisema kuwa Boko Haram wamekubali kuwaachilia huru wasichana waliotekwa nyara mjini Chibok, hata hivyo, maelezo kuhusu kuachiliwa kwao yatakamilishwa katika mkutano mwingine utakaofanyika wiki ijayo mjini Njamena. Pia alieleza kwamba maafisa wa ujasusi wa Chad wa

MWAKYEMBE ASEMA AJARI ZA BARABARANI ZAITIA HASARA SERIKARI

Image
 Ajali zaitia serikali hasara trilioni 3.2/- kwa mwaka mmoja Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe pamoja na waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka wakipokea ripoti kutoka kwa kaimu katibu wizara ya mambo ya ndani, Augustine Shao Serikali imepata hasara ya Sh. trilioni 3.2 kwa kipindi cha mwaka jana, kufuatia ajali za barabarani. Kamati ya kuchunguza matukio ya ajali za barabarani iliyoundwa na Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, imebaini hasara hiyo katika uchunguzi wake. Dk. Mwakyembe alisema hayo jana wakati akipokea Ripoti ya Kamati hiyo iliyopewa wiki mbili kuchunguza matukio ya ajali nchini. Alisema kuwa kamati hiyo iliundwa Septemba 13, mkoani Dodoma na baada ya kumaliza kazi hiyo ilitakiwa kuwasilisha mapendekezo yake ili yaweze kufanyiwa kazi na kupunguza tatizo la ajali. Alisema Kamati hiyo ina taarifa nzito zitakazofanyiwa kazi na miongoni mwa hayo ni hasara ya Sh. trilioni 3.2 iliyopata serikali kutokana na ajali za barabarani zilizotokea mwak

ALIE PIGWA NA RADI MWAKA JANA AFARIKI DUNIA

Mtu mmoja mkaazi wa mloo mbozi mbeya amefariki usiku wa kuamkia leo kufuatia maumivu makali alokuwa akiyapata kwa kipindi cha mwaka mzima baada ya mwaka jana mwezi wa kumi kupigwa na radi akiwa kirabuni kunywa pombe ya kienyeji. mtu huyo ambaye alifahamika kwajina la bambuji kalakana alipigwa na radi kirabuni hapo baada ya kutokea mzozo na mtu mmoja aliefahamika kwa jina moja la donard ambae inasadikiwa kuwa alikuwa akimdai sh 1500 baada ya kunywa pombe zenye thamani ya pesa hiyo . akiongea na mwandishi wa habari hizi mmoja wa ndugu wa marehem kwa mashariti ya kutotajwa jina alisema ilikuwa jumapili ambapo yeye na ndugu yake marehemu walikwenda kilabuni kunywa pombe lakin marehemu hakupewa pombe alizoagiza ndipo mabishano yakaanza kumbe marehem aliwa anadaiwa kilabuni hapo. anasema baada ya mda kidogo mvua zikaanza kunyesha ndipo radi ikapiga nakuchana suruari ya mbambuji na alikuwa akiyasikia maumivu makari huku akiomba msamaa akimtaka mdai wake amsamee wakati huyo donard alikuw

KASI YA VIJANA KWENYE MZIKI WA KIZAZI KIPYA

Image
mkali wa mziki wa hiphap jijini mbeya akiwa location kushut nyimbo yake mpya ya zamu yangu mwaki2 da grit anae kuja kitofauti  picha ya pamoja shirika la mbeya livi lab haaaaaala

RAIS BARACK OBAMA AKERWA NA KINACHOENDELEA MJI WA KOBANE

Image
14 Oktoba 2014 Mshirikishe mwenzako Mji wa Kobane katika mashambulizi Rais Barack Obama amewaambia makamanda wa ngazi ya juu wa jeshini kwamba ameguswa na kile kinachoendelea ambacho wanamgambo wa dola ya kiislam wa IS wanafanya kinyume na mji wa Kobane huko Syria. Rais Obama pia amegusia wanamgambo wa kujitoa muhanga walioko magharibi mwa jimbo la Anbar,aliuambia mkutano unaofanyika karibu na mji wa Washngton kwamba kampeni zinazoendelea dhidi ya wanamgambo wa dola ya kiislam kwamba ni za muda mrefu ,ukijumuisha mipango, changamoto za awali na maendeleo yake. Mkutano huo unahudhuriwa ma maafisa wa ngazi za juu kutoka nchi zaidi ya ishirini, ambapo mwanzoni mwa mkutano huo wizara ya ulinzi ya Marekani imeelezea mipango ya mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo wa dola ya kiislam karibu na mji wa Kobane kwamba ni ya mafanikio makubwa.

MSIMAMO WA CHADEMA UCHAGUZI SERIKARI ZA MITAA

Image
Chadema yasema imejiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa. Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema kimesema kinajiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Desemba 14 mwaka huu na haitosusia uchaguzi huo ili kukabiliana na hujuma mbalimbali zinazofanywa. Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Chadema jijini Dar es Salaam katibu mkuu wa chama hicho Dr Willbroad Slaa amesema kamwe hawatasusia uchaguzi huo kwani Tanzania ina vyama vingi vya siasa wao kama Chadema pekee hawawezi kusitisha utaratibu wa uchaguzi na kwa kufanya hivyo wataiachia CCM ushindi.   Naye mwanasheria mkuu wa chama hicho Tundu Lissu amesema chama chake kinaungana na baadhi ya taasisi na viongozi wa dini kulaani matukio mbalimbali yaliyojitokeza katika mchakato wa katiba tokea hatua za awali mpaka upigaji wa kura unaoonekana kwenda kinyume, hivyo Chadema inajiandaa kuanza kampeni ya kuzunguka nchi nzima kuwaelimisha wananchi kuipigia kura ya 

HABARI NZURI KWA WADAU

Image
Mkurugenzi wa mwaki blog anayofuraha kuwatangazia kuwa kwasasa utapata hapari mbali mbali zikiwemo za kijamii,siasa,uchumi,na za kidini pia utapata mafunzo ya ujasiliamali live hapahapa wakati huohuo utapata mafunzo ya sanaa pamoja na  kufafanua baadhi ya maneno magumu yanayotumika katika nyimbo na maigizo tembelea mala nyingi zaidi maana vitu vipya kila wakati na kila mda vita rushwa kwako hakika hujakosea kujiunga nami

MLISHO MPOTO ATEULIWA KUWA BALOZI

Image
Msanii wa Tanzania Mrisho Mpoto maarufu kama `Mjomba` ameteuliwa kuwa Balozi wa kupiga vita maradhi ya ugonjwa wa ebola kwa nchi za afrika huku akiiomba serikali kumuongezea nguvu katika kutoa elimu ya kuepuka ugonjwa huo ambao umeendelea kuwa tishio kwa nchi za afrika magharibi siara lione, guinea na laiberia na kusababisha vifo vya watu zaidi ya elfu nne mpaka sasa. Like MLISHO  MPOTO AKIONGEA NA VYOMBO  MAARUFU KAMA MPOTO VYA HABARI naamini kuwa kila kazi ni kazi ila kujua kua unafanya kazi nikazi pia hapo zamani kazi ya usanii ilionekana kuwa uhuni na watu walokuwa wakifanya kazi hiyo walionekana niwatu tofauti katika jamii zetu ninayo sababu ya kuishukuru serikari yetu kwa kutambua mchango wa wasanii na hatimae kuwathamini kwani mziki sasa umesaidia kwa kiasi kikubwa kutanua soko la ajila kwa vijana kwa wazee kwani mziki sasa umekuwa biashara tofauti na hapo awali ambapo wasanii wetu walikuwa wakibeba umarufu kunuka  tumeona wasanii wengi sasa akiwemo jay

UNAMKUMBUKAJE MWALIM NYERERE

Image
Baba wa taifa mwalim kambalage nyerere Wakati tukikumbuka kifo cha mwalim julias kambarage nyerere nivema tukakumbuka na tukatumia nukuu zake pia, ambazo zinaweza kutumika kwaajili ya kujenga taifa na kupata muongozo wa nchi ulio bora mwalimu enzi ya uhai wake alituasa tusipende kutawaliwa bali tupende kutawala nasio kutawala kwa kutumia akili zetu, alisema tutawale kwakutumia sheria zilizowekwa nandio utakuwa muongozo wa uongozi nivema pia viongozi wetu wa sasa tukatumia nukuu hiyo na kuiga aina ya uongoz ambao  mwalim wetu alituhusia tuutumie kwa manufaa ya taifa pasipo kuangalia manufaa ya mtu binafsi na kwaa siku hii ya majonzi nivema tukaitumia kupima aina ya uongoz tulionao kwa jamii nakujiuliza maswali je! endapo utatoka madalakani leo umefanya kitu gani cha tofauti ambacho jamii yetu ya sasa na vizazi vya badae itakukumbuka kama tunavyo mkumbuka mwalimu? na pia iwapo mwalimu akafufuka leo utamweleza nini juu ya uongozi wako ikiwa wewe ni mtumiaji wa nukuu na mtunz

STAA WA MUVIE MBEYA

Image
MWAKI 2 KUTOKA KUNDI LA MBEYA LIVING LAB RAYOU KUTOKA KUNDI LA GOLDEN FLOWER  DELILA KUTOKA KUNDI LA LIVING STONE IGULUSI

CHADEMA: UKATILI WA CCM WAMREJESHA KIWIA HOSPITALINI INDIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UKATILI WA CCM WAMREJESHA KIWIA HOSPITALINI INDIA Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwa hali ya Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Ilemela, Highness Kiwia ambaye amekuwa akihudhuria matibabu ndani na nje ya nchi tangu alipovamiwa, kushambuliwa, kupigwa kwa visu na mashoka na vijana wa ulinzi wa CCM (Green Guard), usiku wa kuamkia Aprili Mosi, 2012, imebadilika hivyo ameshauriwa kurejea kwa haraka tena nchini India kwa ajili ya matibabu. Madaktari wa Hospitali ya Doctor’s Plaza ambao wamekuwa wakimuuguza kwa kipindi sasa baada ya matibabu aliyopewa nchini India mara baada ya tukio hilo la kutisha, wamemshauri Kiwia arejee nchini India baada ya kuona bado hali yake haijatengemaa na anahitaji uangalizi wa hospitali ya Apollo iliyomtibu awali. Akizungumza Jijini Dar es Salaam siku ya Jumanne Septemba 30, muda mfupi kabla ya kuondoka kuelekea India, Kiwia ameelezea masikitiko yake kwamba pamoja na kwamba yeye bado yuko kwenye kipindi kigumu cha m

WANANCHI WAMETAKIWA KUWAHOJI VIONGOZI WAO ALIEKIONDOA KIFUNGU CHA KUWAWAJIBISHA VIONGOZ WASIO WAADILIFU

Image
  Katibu bavicha Taifa Patrick Ole Sosopi   Hapa John Mnyika pale Saulum Mwalimu Njombe hiyo  Wananchi nao kwa umakini Duh!!! huku wakilindwa na polisi hadi rahaaaaaaaaaaa!   Mwalimu alishusha Vitu kwa wana Njombe  Mwalimu akimkaribisha Mnyika jukwaani  Mnyika nae aliongea CHADEMA Imewataka wananchi kote nchini kuhoji aliyeondoa kifungu cha kumuwajibisha mbuge atakapo shindwa kufanya aliyo tumwa bungeni. Akizungumza na melfu ya wakazi wa Mkoa wa Njombe, Naibu katibu mkuu bara John Mnyika alisema kuwa CCM watakapo leta Katiba pendekezwa mbeleyao wawahoji walio ileta katiba hiyo kuwa ni nani aliye ondoa kifungu cha kuwabana wabunge ambao watahalibu kabla ya kufikisha miaka mitano, na ninani aliyeondoa kifungu cha miaka ya ukomo wa uongozi.     Hivyo alisema kuwa CCM wanavyo sema wanataka kutetea haki za wananchi wanawadanganya kwa kuondoa kifungu hicho na kumshukia kinana kwa kuzunguka nchi nzima na kusema kuwa serikali hii ina mawaziri mizig