NYOTA YA MZALIWA WA KWANZA
Kama unaitaji kujua nyota ya mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia na changamoto ambazo anaweza kukabiliana nazo tufwatane pamoja. Mtoto wa kwanza kuzaliwa nimtoto mwenye nguvu na aliebeba baraka zote za familia. Nimtoto ambae kwa asilimia kubwa anabeba majukumu ya familia nakuwa mbadala wa wazazi wake pindi wanapochoka au kuzeeka. Mtoto wa kwanza ananyota gani? Mtoto huyu ananyota kadha lkn hapa tutaziangalia chache kama ifuatavyo:- 1) nyota ya kupendwa. 2) nyota utajiri 3) anakuwa na mvuto 4) kuwa na mamlaka 5) kuwa na nyota ya amani na faraja 6) ana nyota ya elimu na maisha mazuri Nanyingine nyingi ambazo tutaziangalia hapo badae endapo zitahitajika je nini maana ya nyota? Nyota ni kipaji au neema ambayo mtu hujaaliwa na mwenyezi mungu pindi tu anapozaliwa . kipawa hicho huwa kikitunzwa vizur hufanyika lulu kwake kwani ndio maisha yake halisi na kumfanya aishi vyema Mungu anaitambua sana nguvu ya mtoto wa kwanza na mamlaka alionayo