STORY YA UTAKE

katika utawala wa mfalme mmoja alie fahamika kwa jina la mfalme jakata kipete huko mashariki ya  mbali kulitokea ugonjwa mbaya sana ambao ulifahamika kwa jina la dusha uliwatesa sana wanakijiji wa ngome ya jakata kwa mda mrefu bila mafanikio

hakuna kiongozi yeyote alie wai kusimama na kulisemea tatizo hilo wala kujali ukubwa wa tatizo hivyo kulifanya tatizo likuwe nakua kubwa  kutokana mwingiliano wa watu basi asilimia kubwa ya wanakijiji hao waliugua ugonjwa huo

maisha halisi ya wanakijiji hao walishindwa jinsi ya kulidhibiti tatizo hilo hivyo likakuwa nakukuwa mala dufu zaidi hali ambayo ilisababisha kusambaa kuanzia wanajijiji wa chini mpaka viongozi wa juu

lilipo fika juu na kumkuta mkuu wa ngome lilibadilishwa jina nakuitwa tenzi gume na baada ya kuona hilo mkuu wa ngome huo akondoka kwenda kijiji cha pili ili kwenda kutibia tatizo hilo 

alipofanikiwa kulitibia hilo akarudi na kuanza kuaadisia wana kijiji huku akielezea ukubwa wa tatizo lakini ilitumia fursa hiyo kuwadisia nijinsi gani watalamu wanavyojua kupapasa na kutekenya  korodani wakati wa matibabu

alisema wanatekenya nakutekenya nilisikia raha burudani na ilikua murwa kabisa hadi nilisahau kuwa mimi ni mkuu wa ngome kumbe ukijua kutumia mapu... no korodani niraha sana kitu ambacho hata kwini wangu hakuwai kukifanya

nashukuru mungu nimepona jamani mwenzenu sikuwai kuvaa suti siku hiyo nikwenda huko nimevaa suti yangu vizuri nikashangaa naambiwa haya toa nguo vua chupi nikalegeza mkanda.............. itaendelea 

Comments

Popular posts from this blog

NYOTA YA MZALIWA WA KWANZA

SANAA NI NINI?