HALI SI SHWALI MBALALI MBEYA

News Alert: Hali ya Mbarali ni mbaya; zaidi ya wanaCHADEMA 30 wamerundikwa ndani


Hali ya Mbarali ni mbaya; zaidi ya wanaCHADEMA 30 wamerundikwa ndani; wakina mama kama 12. Wameteswa na kumwagiwa maji na kugalagazwa chini kwenye kituo cha polis Rujewa. Kuna hadi mzee anaekadiliwa kuwa miaka kati ya 70 na 75  katolewa hadi shati yupo kifua wazi


Wengi wamekamatwa usiku, wengine leo baada ya taharuki iliyo tokea jana Kapunga kwenye upigaji kura. Na leo hii baadhi ya maeneo uchaguzi unarudiwa. baadhi ya wapiga kura wa CHADEMA wapo ndani

Katibu wa wilaya Mbarali Nicko yupo polis sasa na madiwani wawili wakijaribu kufanya taratibu za kujua kinacho endelea.
mpaka sasa mnyukano kati ya polisi na wananchi ni mkali wananchi wamechoma moto duka la mtendani wa kata wakidai kuwa mdendaji wao ndie anasababisha vurugu hizo kutokea kwa kile walicho kieleza kuwa hakutenda haki wakati wa zoezi la upigaji kura 
  
polis mbalali wameomba msaada kutoka mbeya ili waweze kuongezewa nguvu  

Comments

Popular posts from this blog

NYOTA YA MZALIWA WA KWANZA

SANAA NI NINI?

STORY YA UTAKE