NYOTA YA MZALIWA WA KWANZA

             Kama unaitaji kujua nyota ya mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia na changamoto ambazo anaweza kukabiliana nazo tufwatane pamoja.

Mtoto wa kwanza kuzaliwa nimtoto mwenye nguvu na aliebeba baraka zote za familia. Nimtoto ambae kwa asilimia kubwa anabeba majukumu ya familia nakuwa mbadala wa wazazi wake pindi wanapochoka au kuzeeka.

Mtoto wa kwanza ananyota gani?

Mtoto huyu ananyota kadha lkn hapa tutaziangalia chache kama ifuatavyo:-
1) nyota ya kupendwa.
2) nyota utajiri
3)  anakuwa na mvuto
4) kuwa na mamlaka
5)  kuwa na nyota ya amani na faraja
6) ana nyota ya elimu na maisha mazuri

  Nanyingine nyingi ambazo tutaziangalia hapo badae endapo zitahitajika

            je nini maana ya nyota?

Nyota ni kipaji au neema ambayo mtu hujaaliwa na mwenyezi mungu pindi tu anapozaliwa . kipawa hicho huwa kikitunzwa vizur hufanyika lulu kwake kwani ndio maisha yake halisi na kumfanya aishi vyema

Mungu anaitambua sana nguvu ya mtoto wa kwanza na mamlaka alionayo ndio maana hata wakati anamtoa yesu kuja kukomboa ulimwengu alisema huyu ni mwanangu mpendwa msikilizeni atakayo wafundisha myashike

Nizipi changamoto za mtoto wa kwanza?

Shetani anatambua kuwa mtoto wa kwanza ndio ngao ya familia hivyo hutumia hila mbalimbali kuhakikisha anakuangusha badala yake kuishia kuzaraulika

Shetani anajua kuwa akisha mshika mzaliwa wa kwanza atakuwa amefanikiwa kuharibu familia nzima kwani wote wanaofwatia watafwata nyendo zako kwasababu ndio anaonekana kama kio kwao hivyo kila atachokifanya

Kupokwa mamlaka ulionayo kama mzaliwa wa kwanza utatekwa na shetani ni rahisi sana kupoteza sifa za kuwa mzaliwa wa kwanza japo utabakia kuwa wa kwanza kwa hesabu za nje na muonekano lkn hutakuwa na mamlaka katika ulimwengu wa roho

Mambo ambayo yanaweza kukupotezea sifa za mzaliwa wa kwanza ni:-
1) ulevi wa kupindukia
2) kutojihusisha na mambo yanayohusu familia
3) kutokuwa na msaada wowote katika familia
4) kushindwa kujiheshimu na kuwaheshim wengine
5) kuukataa ukwel kuwa wewe ninguzo ya familia
6) kuwazarau wazazi , wanaweza kukulaan na kukuondelea mamlaka yako

      Nini maana ya nguzo
Nguzo nikitu cha kwanza kuwepo mahal au kitu cha kwanza kusimikwa alafu vingine vikafwatia

Itaendelea........by onesmo righton mwaki

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

SANAA NI NINI?

STORY YA UTAKE