SANAA NI NINI?

Sanaa ninini basi. Waweza kusema sanaa nikazi kama zilivyo kazi zingine lkn pia kitaalamu sanaa niule ufundi wa kuwasilisha mawazo yalio katika fikra za mtu kwenda kwa mtu mwingine

Au ni lile jambo ambalo mwandishi amelisema katika kazi ya fasihi

             MATAWI YA SANAA
kuna vipengele au matawi kadha vya sanaa ambayo ni:-
1) maigizo
2) ususi
3) uchongaji
4) uchoraji
5) ufumaji
6) uimbaji
7) uchekeshaji

   Unawezaje kuwasilisha sanaa yako kwa watu wengine? Kwanza nikwanjia ya kuamini kuwa unaweza kisha wasilisha sanaa yako na sanaa inawasilishwa kwa njia ya mandishi, maneno na vitendo

Comments

Popular posts from this blog

NYOTA YA MZALIWA WA KWANZA

STORY YA UTAKE