Sumaye afunguka kurudi ccm

  Waziri wa zamani mh fredrick sumaye amefunguka juu ya hama hama ya baadhi ya wabunge na madiwani wa chadema ambapo amesema kwa kufanya hivyo niushamba wa siasa

   Akijibu swali la mtangazaji wa kituo kimoja hapa jijini ambaye alimuuliza kama atarudi nyumbani kwa maana ya chama cha mapinduzi sumaye alishangaa na kukana kuwa ccm sio nyumbani

  Sumaye alimnukuu mwalimu nyerere akisema kuna wakati baba wa taifa alipata kisema ccm sio mama yangu, hivyo ujue kuwa chama cha mapinduzi sio nyumbani

    Nilijiunga na upinzaji ili kupigania democrasia, uhuru wa kuongea na kutoa maoni kupinga udicteta ikiwa ni pamoja na kudai utawala bora wa sheria kwa kufwata misingi ya katiba

   Aliongeza na kusema kuwa hata kama viongozi waliopo madarakani watafanya yote tunayoyapigania leo atabaki kuwa upinzani ili azidi kuipa chalenji serikal
 
    Sitaki niamin kwamba kweli viongozi wanaohama hawajui siasa ninini au niwanahama kwa eidha mashinikizo flani au kwa kuaidiwa kitu flani, kutishwa na kuogofya tu lkn huwezi kusema eti kwasababu kiongozi kafanya ulokuwa unapigania ndio useme najiunga nae

   Mm mbowe na mh lowasa hatuwezi kuhama kwa sababu hio zaidi tutazidi kutanua akili kuwa je niwapi serikal inakosea ili tuzidi kuichalenji na kikubwa tunachokitaka ni mgawanyo wa daraka kikitawala chama hiki nahiki kinatawala
   

Comments

Popular posts from this blog

NYOTA YA MZALIWA WA KWANZA

SANAA NI NINI?

STORY YA UTAKE