TANZIA

      Mke wa mwanasiasa mkongwe na mahili katika siasa za tanzania kingunge ngombale mwilu peres amefariki dunia

Akithibitisha juu ya kifo hicho mtoto wake kinje mwilu alisema mama yake umauti umemkuta katika hospital ya taifa muhimbil alikokuwa akitibiwa


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA YA MZALIWA WA KWANZA

SANAA NI NINI?

STORY YA UTAKE