Ajali mbaya yatokea

Mwendesha pikipiki mmoja maarufu kama bodaboda amejeruhiwa vibaya sana baada ya kugongwa na gari ya polisi lenye namba ya usajili pt 2012

  Ajali hio imetokea leo asubui majila ya saa moja kibaha maeneo ya hospitali ya mkoa wa pwani ambapo 
  
 Bodaboda huyo ambae jina wala kabila lake halikuweza kupatikana mapema amekimbizwa na kulazwa katika hospitali ya mkoa pwani

  Mashuhuda wa ajari hio wanalipoti kuwa chanzo cha ajali hio ni mwendo kasi alokuwa nao boda boda ambapo alijikuta kupalamia gari bada ya kushindwa kukata kona na kukaa kwenye saiti yake
  
   Bodaboda huyo anaonekana kaumia sana mguu wa kushoto ambao umevunjika na kupata mchubuko mkubwa na kuvunjika mkono wa kulia

By onesmo righton
  

Comments

Popular posts from this blog

NYOTA YA MZALIWA WA KWANZA

SANAA NI NINI?

STORY YA UTAKE