MASHUJAA WA GEITA MBALONI



Siku chache baada ya serikali katika manispaa ya kinondoni kuwakamata vijana watatu wafuasi wa CHADEMA waliotembea kwa miguu kutoka mkoani GEITA mpaka mkoa wa Dar e s salaam,baadhi ya wakazi wa jiji la dar es salaam waliongea na  MWAKI2 kwa nyakati tofauti wamekuwa na maoni yanayokinzana kuhusianana kitendo hicho cha kukamatwa kwao huku wengine wakisema wamekuwa ni mashujaa na wazalendo katika nchi yao kwa kutaka kufikisha kilio chao kwa mkuu wa nchi hivyo nijambo la kiungwana,na hawakuona sababu ya jeshi la polisi kuwa kamata kwakuwa wao sio wahalifu ni wanaharakati wapigania haki.
wakati huo pia kua wengine wamejaribu kuliza maswli kwamba mkuu wa wilaya y kinondoni nianakili bsana kuliko wakuu wa wilaya wengine kutoka huko waliko toka mpaka kufikia hapa maana safari yao haikuwa ya wilaya moja na kuongeza kuwa nivema wangewaonea huruma vijana hawa na kuwapa tuzo ya ushujaa wao lakini pia kwamba je akisikia mlengwa mwenyewe atalichukuliaje swala hili? 

niswali gumu ambalo mimi na wewe hatuna majibu yake

Comments

Popular posts from this blog

NYOTA YA MZALIWA WA KWANZA

SANAA NI NINI?

STORY YA UTAKE