SALAM WAPENDWA

Salamu sana, hizi ni salamu kutoka kwa mwanakwetu mwaki peter nakili udhaifu wa kutokuwa hewani kwa mda mrefu hii nikutokana na uchakavu wa mitambo kiasi kwamba ilikuwa inaniwia vigumu kuwa karibu na watu wangu wa kuwategemea . kutokana na sababu hio sasa ninayo furaha kubwa kuwa tunarudi hewan kwa kasi nyingine tukiwa na hali mpya
 Naomba mnipokee wadau kwa habari na matukio motomoto nihapa hapa kupitia mwaki blog uwende wapi kwingine hakika ni hakuna

Comments

Popular posts from this blog

NYOTA YA MZALIWA WA KWANZA

SANAA NI NINI?

STORY YA UTAKE