Uozo wa mawaziri

    Source kwinyara

Mawaziri wanakuja na pop up majibu kwa report ya CAG, yaani ndani ya wiki mbili sijui wanakua wameshafanya marekebisho. Alafu tunataka kuamini kweli wamerekebisha, report inayobeba madudu ya mwaka mmoja, leo gafla wawe wamesharekebisha na kucover minyoo yote walioiachia muda wote huo.

Watanzania puuzeni hayo majibu ya hao Mawaziri njaa, maana report ya CAG mwaka ujao wa fedha wizara hizo hizo mtaona huo ubadhilifu kama kawaida ndio mtaamini hawana lolote hao wanajaribu kuziba ushuzi kwa kiwango cha kiganja.

Hayo masifa wanayo mjaza JPM mara katoka kwa Mungu, mara wamuunge mkono, huku matrilioni yanapotea kwa mwaka yanapigwa juu kwa juu. Inaonyesha huu ulaji wa sasa ni wa watu wachache sana, kama wakina Bashite wakina Gambo, lazima wawe mabilionea wezi.

Alafu ile mahakama ya mafisadi walishindwaga kuifungua kisa nini? Wanajijua wezi hao.

CCM ni ile ile Watanzania tuandamane kuhakikisha hawa adui wa ustawi wa nchi yetu wanaondoka enzini.

By onesmo

Comments

Popular posts from this blog

NYOTA YA MZALIWA WA KWANZA

SANAA NI NINI?

STORY YA UTAKE