Sanaa ninini basi. Waweza kusema sanaa nikazi kama zilivyo kazi zingine lkn pia kitaalamu sanaa niule ufundi wa kuwasilisha mawazo yalio katika fikra za mtu kwenda kwa mtu mwingine Au ni lile jambo ambalo mwandishi amelisema katika kazi ya fasihi MATAWI YA SANAA kuna vipengele au matawi kadha vya sanaa ambayo ni:- 1) maigizo 2) ususi 3) uchongaji 4) uchoraji 5) ufumaji 6) uimbaji 7) uchekeshaji Unawezaje kuwasilisha sanaa yako kwa watu wengine? Kwanza nikwanjia ya kuamini kuwa unaweza kisha wasilisha sanaa yako na sanaa inawasilishwa kwa njia ya mandishi, maneno na vitendo
Comments
Post a Comment