HABARI NZURI KWA WADAU


Mkurugenzi wa mwaki blog anayofuraha kuwatangazia kuwa kwasasa utapata hapari mbali mbali zikiwemo za kijamii,siasa,uchumi,na za kidini pia utapata mafunzo ya ujasiliamali live hapahapa wakati huohuo utapata mafunzo ya sanaa pamoja na  kufafanua baadhi ya maneno magumu yanayotumika katika nyimbo na maigizo

tembelea mala nyingi zaidi maana vitu vipya kila wakati na kila mda vita rushwa kwako hakika hujakosea kujiunga nami

Comments

Popular posts from this blog

NYOTA YA MZALIWA WA KWANZA

SANAA NI NINI?

STORY YA UTAKE