UNAMKUMBUKAJE MWALIM NYERERE

Baba wa taifa mwalim kambalage nyerere
Wakati tukikumbuka kifo cha mwalim julias kambarage nyerere nivema tukakumbuka na tukatumia nukuu zake pia, ambazo zinaweza kutumika kwaajili ya kujenga taifa na kupata muongozo wa nchi ulio bora
mwalimu enzi ya uhai wake alituasa tusipende kutawaliwa bali tupende kutawala nasio kutawala kwa kutumia akili zetu, alisema tutawale kwakutumia sheria zilizowekwa nandio utakuwa muongozo wa uongozi
nivema pia viongozi wetu wa sasa tukatumia nukuu hiyo na kuiga aina ya uongoz ambao mwalim wetu alituhusia tuutumie kwa manufaa ya taifa pasipo kuangalia manufaa ya mtu binafsi
na kwaa siku hii ya majonzi nivema tukaitumia kupima aina ya uongoz tulionao kwa jamii nakujiuliza maswali je! endapo utatoka madalakani leo umefanya kitu gani cha tofauti ambacho jamii yetu ya sasa na vizazi vya badae itakukumbuka kama tunavyo mkumbuka mwalimu?
na pia iwapo mwalimu akafufuka leo utamweleza nini juu ya uongozi wako ikiwa wewe ni mtumiaji wa nukuu na mtunza kumbukumbu za baba wa taifa ? lakini ikwa unafwata misingi ya uongozi ambao mwalim aliiacha insshara mungu wangu wa mbinguni akubariki

Comments

Popular posts from this blog

NYOTA YA MZALIWA WA KWANZA

SANAA NI NINI?

STORY YA UTAKE