UJUMBE MKUBWA WA LEO WA DIAMOND

                                                                                                                                                                     
mwaki akiwa anatafakari nijinsi gani anawapenda ndugu zake akiwa nnyumbani kwake eapoti mbeya




leo katika ukarasa wake msanii wa mziki wa kizazi kipya tanzania DIAMOND PLUTNIUM ameandika kuwa maisha ni vita ya mirere usichoke kupambana  na ukiona madui wanazidi kukuandama ujue umepiga hatua kimaendeleo

namini mtu yeyote mwenye mafanikio atakubaliana na msanii huyu maana binadamu wengi wanapenda kuona mtu akiteseka na kusotea maisha lakini hawapendi kuona mafanikio yako na hayo ndio maisha halisi ya binadamu walio wengi

kuna watu abao wametutangulia mbele kimaisha hawapendi kuona mwingine unamsogelea na kuonesha mafanikio yako wanapenda kukaa mbele wakijiona kama wao ndio walio umbiwa maisha na hata katika familia zetu wengi tunapenda kuhodh madaraka ili tuonekane tunapa power kuliko mtu mwine

napenda kutoa wito kwa mtu yeyote mwenye mafanikio penda kusaiadia maana utatukukzwa milele kuliko kuto waangalia walio chini yako mana daima watakulilia na kilio chao kitakutata popote na mungu atakisikia hatimae atakuangusha kama hauko imara

lakini yote na yote mtegemee mungu katika maisha yako yote kwasababu yeye ndie ngao na nguzo ya maisha yako hakuna ibilisi awae yote ambae anaweza kukuangusha kama unamtegemea mungu katika kweli

mali zipo na zitaendelea kuwepo sisi niwapitaji tunapita na mali tutaziacha kumbuka wangapi walikuwa na mali nyi ngi na wakashindwa kuondoka nazo binadam tukifa tunanuka ndiomaana hatuishi kufukiana na kiuzikana

unanafasi bado acha kitu kwa kipindi hichi ambacho upo dunian na mungu atakubariki daima na binadam watakulilia kwa machozi mazito maana wema wako na upendoko uliokuwa nao duniani hatasaulika kamwe inshara nawaombea dua kwa MUNGU  ili atusaidie tuwe na moyo wa upendo na tupenda ndugu zangu


Comments

Popular posts from this blog

NYOTA YA MZALIWA WA KWANZA

SANAA NI NINI?

STORY YA UTAKE