MLISHO MPOTO ATEULIWA KUWA BALOZI

Msanii wa Tanzania Mrisho Mpoto maarufu kama `Mjomba` ameteuliwa kuwa Balozi wa kupiga vita maradhi ya ugonjwa wa ebola kwa nchi za afrika huku akiiomba serikali kumuongezea nguvu katika kutoa elimu ya kuepuka ugonjwa huo ambao umeendelea kuwa tishio kwa nchi za afrika magharibi siara lione, guinea na laiberia na kusababisha vifo vya watu zaidi ya elfu nne mpaka sasa.
LikeMLISHO MPOTO AKIONGEA NA VYOMBO  MAARUFU KAMA MPOTO VYA HABARI

naamini kuwa kila kazi ni kazi ila kujua kua unafanya kazi nikazi pia hapo zamani kazi ya usanii ilionekana kuwa uhuni na watu walokuwa wakifanya kazi hiyo walionekana niwatu tofauti katika jamii zetu
ninayo sababu ya kuishukuru serikari yetu kwa kutambua mchango wa wasanii na hatimae kuwathamini kwani mziki sasa umesaidia kwa kiasi kikubwa kutanua soko la ajila kwa vijana kwa wazee kwani mziki sasa umekuwa biashara tofauti na hapo awali ambapo wasanii wetu walikuwa wakibeba umarufu kunuka 
tumeona wasanii wengi sasa akiwemo jay dee na wasanii wengine kuchaguliwa kuwa mabalozi kitu ambacho kinawasaidia wasanii wetu kuwaingizia kipato na kuitangaza kwa uzuri tanzania yetu 
wito wangu tuwape sapoti wasanii wetu tuzipe sapoti kazi zao kwani kwa kufanya hivyo tutakuwa tumechangia kuinua soko la ajila na kupunguza janga kubwa la umaskini katika nchi yetu

Comments

Popular posts from this blog

NYOTA YA MZALIWA WA KWANZA

SANAA NI NINI?

STORY YA UTAKE